Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (zamani Chuo cha Sanaa
Bagamoyo) huandaa Tamasha la Sanaa na Utamaduni kila mwaka. Kwa
mwaka huu 2022 Tamasha lilipangwa kufanyika kuanzia tarehe 5 hadi 12
mwezi Novemba, 2022.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, tunapenda kuwajulisha
kuwa Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
litafanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 mwezi Novemba, 2022.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza, na tunaomba utayari
wenu wa kushiriki katika Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na
Utamaduni Bagamaoyo kwa mabadiliko hayo.
Asante sana.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.Box 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 023 2440149
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2022 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.