• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Kuhusu Tamasha
    • Mwongozo wa Tamasha
    • Fomu za Maombi ya Tamasha
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA TaSUBa KWA KUZALISHA WATAALAM MAHIRI WA SANAA NA UTAMADUNI

Posted on: March 18th, 2023

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya  Mwenyekiti wake Mhe. Prof. Kitila Mkumbo  imeipongeza Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)  kwa  kufanya ukarabati wa miundombinu na kununua vifaa vya kufundishia na kujifunzia kama ilivyoelekezwa na Serikali.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Prof. Kitila Mkumbo ameyasema hayo wilayani Bagamoyo wakati Kamati hiyo ilipotembelea TaSUBa Machi 18, 2023 ili kukagua utekelezaji  wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2021/22 pamoja na kuona shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Taasisi hiyo.

"Sekta ya Utamaduni na Sanaa inatoa ajira kwa watu wengi, ni vizuri tukaendelea kuwekeza na kuweka mazingira bora kwa Taasisi hii  ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya kutosha na ununuzi wa vifaa vya kisasa ili wadau wetu wapate mafunzo bora ya kuendeleza vipaji vyao," amesisitiza Mhe. Kitila.

Ameongeza kuwa ipo haja kwa Serikali kuiongezea  Bajeti Taasisi hiyo ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi pamoja na kuiongezea vifaa zaidi vya kujifunzia na kufundishia.

Kwa upande wao Wajumbe wa Kamati hiyo wakizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa ziara hiyo wametoa wito kwa wadau katika Sekta Binafsi hususani wasanii na wanufaika wa kazi za sanaa waendelee kujitokeza kuchangia maendeleo ya Taasisi hiyo kwa kujenga miundombinu na kutoa vifaa vya  kufundishia na kujifunzia badala ya kuiachia Serikali peke yake.

Naye Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameieleza Kamati hiyo kuwa Serikali inaeendelea kuweka jitihada kuboresha miundombinu ya Taasisi hiyo na inaialika Sekta binafsi pamoja na wadau wa sanaa kushirikiana na Serikali katika kukiendeleza Chuo hicho muhimu katika Sekta ya Sanaa na Utamaduni nchini.

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2025-2026 SEPTEMBER INTAKE May 28, 2025
  • JOIN INSTRUCTION KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 April 02, 2025
  • Call for the artists Bagamoyo Festival - 2025 May 05, 2025
  • Wito kwa wasanii Tamasha la Bagamoyo - 2025 May 05, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBU UJIUNGE NA KOZI YA MUDA MFUPI YA MUZIKI

    May 29, 2025
  • JIUNGE NA CHUO INGIZO LA MACHI 2025

    March 04, 2025
  • JIUNGE NA CHUO INGIZO LA MACHI 2025

    December 19, 2024
  • *SERIKALI KUENDELEA KUFANYA UWEKEZAJI MKUBWA TaSUBa*

    December 07, 2024
  • Angalia zote

Video

KARIBU JIUNGE NA CHUO TaSUBa KWA MUHULA WA MACHI 2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS))
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Baraza la Sanaa la Taifa

Viunganishi Linganifu

  • WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kaole Road

    Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania

    Simu: +255 762544613

    Simu ya kiganjani: +255 766 264 581

    Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.