Huduma za afya:
Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma inatoa huduma mbalimbali wa wakazi wa manispaa na wananchi kutoka nje ya manispaa. Manispaa ina Vituo vya Afya 4 na zahanati 32.
Katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kuna hospitali 4, kati ya hizo 2 zinamilikiwa na Serikali na 2 zinamilikiwa na taasisi za kidini. Kuna jumla ya vituo vya afya 13, kati ya hivyo 4 vinamilikiwa na Halmashauri, 4 na taasisi za serikali, 3 na taasisi za kidini na 2 ni vya binafsi.
Hata hivyo, kuna zahanati 48, kati ya hizo 32 ni za serikali, 6 ni za taasisi za kidini, 2 zinamilikiwa na taasisi za serikali na 8 za watu binafsi. Hospitali ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) inatumika kama na wakazi wengi wa manispaa kwa kuwa Halmashauri bado haina hospitali yake ya Wilaya; hii imesababisha msongamano mkubwa wa wagonjwa katika hospitali ya mkoa. Juhudi zinafanyika ili kujenga hospitali ya Wilaya.
Kwa sasa Halmashauri imeingia mkataba wa huduma na Hospitali ya Mt. Gemma kufanya kazi kama Hospitali teule ya Wilaya wakati juhudi za kujenga Hospitali ya Wilaya zinaendelea.
Kuhusiana na suala la afya, Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma ina magonjwa 10 ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara, kama inavyoorodheshwa hapa chini:-
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.