Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul Septemba 03,2022 amefunga Programu ya Mafunzo ya Muda Mfupi ya Muziki kwa Washiriki wa Taifa Cup 2021 , Bongo Star Search 2021 na Kambi ya Ulibwende Viziwi.
Mafunzo hayo ya mwezi mmoja, yamefanyika katika Taasisi ya Sanaaa na Utamaduni Bagamoyo, ambapo lengo ni kuwaendelea Wasanii hao katika taaluma ya Sanaa, katika kuongeza ubunifu na maarifa zaidi katika Sanaa pamoja na kuzingatia maadili na uzalendo kwa Taifa.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.Box 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 023 2440149
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2022 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.