|
|
|
Kikundi cha ngoma za kisasa kikitoa burudani wakati wa Tamasha la 40 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akipiga ngoma kuashiria uzinduzi wa Tamasha la 40 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo Oktoba 28, 2021.
|
Kikundi cha Muziki wa Asili kutoka India kikitoa burudani wakati wa Tamasha la 40 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
|
|
|
|
Mabalozi wa nchi mbalimbali walipata fursa ya kuhudhuria Tamasha la 40 la Bagamoyo la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
Sarakasi ni sehemu ya maonyesho yaliyopamba Tamasha la 40 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
Msanii wa Taarabu Isha Mashauzi kutoka Tanzania akitumbuiza katika Tamasha la 40 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo. |
|
|
|
Washirki wa Tamasha la 40 la Bagamoyo walitembelea vivutio vya utalii vya Kaole na Mji Mkongwe (Ikulu ya Mjerumani) vilivyoko Bagamoyo.
|
Washiriki walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Saadan iliyoko pembezoni mwa bahari ya Hindi ambako walifanya utalii wa baharini kwa kutumia boti.
|
Maonyesho ya kazi za wajasiriamali ya Tamasha la 40
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.