• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Tamasha la 44
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

TaSUBa AWARDS ZINALENGA KUONGEZA HAMASA NA KUIBUA VIPAJI VYA WANAFUNZI

Posted on: June 26th, 2026

Mkuu wa Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Dkt. Herbert Makoye, amesema kuwa TaSUBa Awards zimeanzishwa kwa lengo la kuwapa hamasa wanachuo ili wafanye vizuri zaidi katika masomo yao na kuendeleza vipaji vyao vya kisanii.Akizungumza kuelekea msimu wa tatu wa TaSUBa Awards, Dkt. Makoye alisema tuzo hizo ni sehemu ya kutambua juhudi, ubunifu na mafanikio ya wanafunzi katika nyanja mbalimbali za sanaa na utamaduni.“TaSUBa Awards ni tuzo zinazotoa hamasa kwa wanachuo wetu ili waweze kufanya vizuri zaidi na kuweka jitihada katika masomo na vipaji vyao kwa ujumla. Tunapenda kuona tuzo hizi zikiendelea kukua na kuwa kubwa zaidi kila mwaka,” amesema Dkt. Makoye.Aliongeza kuwa TaSUBa itaendelea kuboresha mfumo wa tuzo hizo ili ziwe chachu ya ushindani wenye tija, ubunifu na maendeleo ya tasnia ya sanaa nchini.TaSUBa Awards zimeendelea kuwa moja ya matukio muhimu chuoni, zikitoa fursa ya kutambua na kuthamini vipaji vya wanafunzi pamoja na kuwahamasisha kuendelea kujifunza, kubuni na kufanya kazi kwa weledi katika sekta ya sanaa na utamaduni.

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2026-2027 INGIZO LA SEPTEMBA August 21, 2026
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2026–2027 August 21, 2026
  • WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KWA MWAKA WA MSOMO 2026-2027 August 19, 2026
  • majina ya waombaji ambao wamechaguliwa na NACTVET kujiunga na Taasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo ingizo la Septemba 2025 August 15, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TWENZETU BAGAMOYO!!!

    August 22, 2026
  • TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI

    June 27, 2026
  • TaSUBa AWARDS ZINALENGA KUONGEZA HAMASA NA KUIBUA VIPAJI VYA WANAFUNZI

    June 26, 2026
  • ELIMU NA MAZOEZI SIRI YA MAFANIKIO KATIKA SANAA YA UCHORAJI

    June 25, 2026
  • Angalia zote

Video

TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS))
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Baraza la Sanaa la Taifa

Viunganishi Linganifu

  • WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kaole Road

    Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania

    Simu: +255 762544613

    Simu ya kiganjani: +255 766 264 581

    Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.