|
|
|
Maonesho ya bidhaa za asili za wajasiriamali ni sehemu ya shughuli zilizopamba Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo.
|
Kwaya ikitumbuiza wakati wa Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba, 2019 katika ukumbi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).
|
Kikundi cha sarakasi kikionyesha umahiri wake katika fani hiyo wakati wa Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
|
|
|
Vikundi mbalimbali vya kimataifa vilishiriki na kutoa burudani katika Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo.
|
Msanii wa muziki wa miondoko ya regge akitoa burudani wakati wa Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
Msanii wa kughani mashairi akitoa burudani kwa watazamani waliohudhuria Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
|
|
|
Kikundi cha ngoma za asili kikionyesha umahiri wake katika kutawala jukwaa wakati wa Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
Sarakasi ilikua ni sehemu ya burudani iliyopamba Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).
|
Msanii wa muziki wa asili akishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la 38 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
|
|
|
|
|
|
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.