• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Tamasha la 44
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

KARIBU TaSUBa KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027

Posted on: June 25th, 2026

Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) anawakaribisha vijana wenye vipaji na ndoto za kufikia mafanikio katika sanaa kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2026/2027.


TaSUBa ni kituo mahiri cha kuendeleza vipaji na kuzalisha wataalamu wa sanaa na utamaduni wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira na uchumi wa ubunifu nchini na kimataifa.


Ikiwa una kipaji katika muziki, filamu, uigizaji, ngoma, sanaa za maonesho au sanaa za ubunifu, huu ndio wakati wako wa kukiendeleza na kukifanya kuwa taaluma yenye mafanikio.


Karibu TaSUBa kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Tuma maombi yako sasa na uanze safari ya kutimiza ndoto zako.

Matangazo

  • FEES STRUCTURE FOR ACADEMIC YEAR 2026-2027 June 03, 2026
  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2026-2027 September intake June 03, 2026
  • Join instruction for TAMISEMI 2026-2027 June 03, 2026
  • majina ya waombaji ambao wamechaguliwa na NACTVET kujiunga na Taasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo ingizo la Septemba 2025 August 15, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBU TaSUBa KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027

    June 25, 2026
  • CALL FOR ARTISTS TO PARTICIPATE IN THE 44th EDITION OF THE BAGAMOYO INTERNATIONAL FESTIVAL OF ARTS AND CULTURE

    June 23, 2026
  • NIDHAMU NI MSINGI WA MAFANIKIO KWA MSANII

    June 22, 2026
  • CREATIVE ECONOMY NI MSINGI WA MAISHA BORA YA BAADAYE KWA VIJANA

    June 20, 2026
  • Angalia zote

Video

NIDHAMU NI MSINGI WA MAFANIKIO KWA MSANII
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS))
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Baraza la Sanaa la Taifa

Viunganishi Linganifu

  • WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kaole Road

    Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania

    Simu: +255 762544613

    Simu ya kiganjani: +255 766 264 581

    Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.