|
|
|
|
|
|
Kikundi cha ngoma za asili kikitoa burudani ya ngoma wakati wa Tamasha la 39 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
Msanii wa muziki wa singeli wenye asili ya Tanzania akitoa burudani ya muziki wa wahudhuriaji wa Tamasha la 39 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
Msanii wa sarakasi akionyesha umahiri wake wa kucheza na kijinga cha moto wakati wa Tamasha la 39 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililofanyika mwishoni mwa mwezi Disemba 2020.
|
|
|
|
|
Mwanamuziki wa muziki wa Bongo Fleva akilitawala jukwaa wakati wa Tamasha la 39 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.
|
Kikundi cha ngoma za kitamaduni kilikonga nyoyo za watazamaji waliohudhuria Tamasha la 39 la Bagamoyo.
|
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.