Mahafali ya 37 TaSUBa kufanyika Desemba 4, 2026
Bi. Sylvia Bhoke, mwadili kutoka Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), amesema kuwa maandalizi ya mahafali ya 37 ya taasisi hiyo yanaendelea vizuri.
Ameeleza kuwa TaSUBa inawakaribisha wazazi, walezi na wadau wa sanaa kushiriki katika mahafali hayo yatakayofanyika Desemba 4, 2026 katika Viwanja vya Taasisi.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.