Flexible Hall ya TaSUBa, ukumbi unaotumika kwa shughuli tofauti tofauti
Mkufunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), John Sagatti, amesema Flexible Hall ni ukumbi unaoweza kutumika kwa shughuli mbalimbali kulingana na mahitaji na matumizi ya wakati husika.
Amesema ukumbi huo hutumika kwa shughuli tofauti ikiwemo warsha, mikutano ya dini, sherehe za Send Off na harusi, pamoja na shughuli za kitaaluma kama mawasilisho (Presentations) ya wanafunzi na maonesho ya kazi zao (Interventions).
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.