Mkufunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), John Sagatti, amesema Jukwaa la Mwembeni ni jukwaa mama na moyo wa taasisi hiyo kutokana na historia yake tangu kuanzishwa kwa chuo.
Amesema jukwaa hilo ni sehemu muhimu inayohifadhi historia ya TaSUBa, kwani linatambulisha chimbuko la taasisi hiyo na kuhifadhi kumbukumbu za safari yake ya kisanaa.
Ameeleza kuwa tangu kuanzishwa kwa TaSUBa, Jukwaa la Mwembeni limekuwa likitumika kuwasilisha maonesho ya kazi mbalimbali za kisanaa zinazofanywa na wasanii na wanafunzi wa taasisi hiyo.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.