Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (zamani Chuo cha Sanaa Bagamoyo) huandaa Tamasha la Sanaa na Utamaduni kila mwaka. Kwa mwaka huu 2022 Tamasha lilipangwa kufanyika kuanzia tarehe 22 hadi 29 mwezi Oktoba, 2022.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, tunapenda kuwajulisha kuwa Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo litafanyika kuanzia tarehe 05 hadi 12 mwezi Novemba, 2022.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza, na tunaomba utayari wenu wa kushiriki katika Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamaoyo kwa mabadiliko hayo.
Asante sana
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.