WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Palamagamba Kabudi Julai 02, 2025 ametembelea banda la Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) na kupata maelezo kuhusu kazi zinazofanywa na Taasisi hiyo kutoka kwa Mkuu wa Taasisi Dkt. Herbert Makoye.
Aidha Prof. Kabudi ameipongeza TaSUBa kwa kazi kubwa inayoifanya ya kuhakikisha inatoa mafunzo kwa weledi mkubwa yanayoendana na kasi ya ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia.
Mhe. Kabudi ametoa wito kwa vijana kujiunga na Chuo hicho kwa ajili ya mafunzo ya muda mfupi au mrefu.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.