Baraza la Wafanyakazi la Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) limefanya kikao chake leo Februari 03, 2026 ambapo limepokea, kujadili na kupitisha mapendekezo ya bajeti ya Taasisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Akizungumza katika kikao hicho, Kaimu Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye ni Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri Bw. Gabriel Kiiza amesisitiza uwajibikaji na bidii kazini ili kuleta ufanisi katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Taasisi.
Awali Bw. Kiiza aliwataka wajumbe kushiriki kikamilifu mijadala bila hofu kwa kutumia fursa hiyo muhimu kujadili hoja zinazojitokeza ili kufanikisha shughuli za Taasisi.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.