• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Tamasha la 44
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

DC Ndemanga awataka TaSUBa kushirikiana na wadau.

Posted on: November 1st, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga, amewataka waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo pamoja na matamasha mengine nchini kufungua milango kwa wadau wengi zaidi ili kuimarisha ushirikiano katika maandalizi na uendeshaji wa matukio hayo.


Ametoa wito huo wakati wa kilele cha Tamasha la 44 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, lililofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), mkoani Pwani, kuanzia Oktoba 28 hadi 31, 2026.


Ndemanga amesema ushirikiano wa wadau ni muhimu katika kukuza matamasha na kuongeza mchango wake kwa Taifa, akibainisha kuwa changamoto katika maandalizi na uendeshaji wa matukio makubwa haziwezi kuepukika.


“Niwaombe waandaaji wa tamasha hili na matamasha mengine waendelee kufungua milango ili kukaribisha wadau wengi wa kushirikiana nao kuendesha matukio haya muhimu sana kwa Taifa letu,” amesema.


Aidha, ameupongeza uongozi, wafanyakazi, wanachuo wa TaSUBa na kamati za maandalizi kwa juhudi zao za kuhakikisha tamasha hilo linafanyika kwa miaka 44 mfululizo, akisema hatua hiyo inaonesha dhamira ya kuendeleza sanaa na utamaduni nchini.


Amewahamasisha pia wananchi wa Bagamoyo na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi katika matamasha yajayo ili kuwaunga mkono wasanii na kutambua mchango wao katika kukuza sanaa nchini.

Matangazo

  • TANGAZO NAFASI ZA KUJITOLEA October 09, 2026
  • majina ya waombaji ambao wamechaguliwa na NACTVET kujiunga na Taasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo ingizo la Septemba 2025 August 15, 2025
  • FEES STRUCTURE FOR ACADEMIC YEAR 2026-2027 June 03, 2026
  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2026-2027 INGIZO LA SEPTEMBA August 21, 2026
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC Ndemanga awataka TaSUBa kushirikiana na wadau.

    November 01, 2026
  • MGENI RASMI WA KILELE CHA TAMASHA LA 44 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO 2026

    October 31, 2026
  • Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Gabriel Kiiza, amesema Tamasha la 44 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo limekuja kwa msisimko mkubwa kutokana na kushirikisha wasanii wengi zaidi, wakiwemo kutoka nje ya nchi.

    October 30, 2026
  • TWENZETU BAGAMOYO!!!

    October 28, 2026
  • Angalia zote

Video

TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS))
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Baraza la Sanaa la Taifa

Viunganishi Linganifu

  • WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kaole Road

    Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania

    Simu: +255 762544613

    Simu ya kiganjani: +255 766 264 581

    Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.