Kikao cha Baraza la Wafanyakazi katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) kimefanyika Januari 15, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Taasisi hiyo.
Akizungumza wakati wa kikao hicho Mwenyekiti wa Baraza ambae pia ni Mkuu wa Taasisi hiyo, Dkt. Herbert Makoye amewataka wajumbe wa baraza kushiriki kikamilifu bila hofu kwa kutumia fursa hiyo muhimu kujadili hoja zinazojitokeza ili kufanikisha shughuli za Taasisi hiyo.
Katika kikao hicho cha Baraza, wajumbe wamepata fursa ya kujadili Mapitio ya Bajeti ya Taasisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.