Mwalimu wa Ngoma wa TaSUBa, Bw. Shabani Mbatta, amesema ngoma ni mpangilio maalumu wa sauti unaomfanya mchezaji kucheza na msikilizaji kufurahia mirindimo yake.
Ameeleza kuwa dhana ya ngoma ina maana pana, kwani inahusisha ngoma kama kifaa cha muziki pamoja na ngoma kama sanaa ya kimila inayowakutanisha watu wa kabila fulani katika kikundi kwa ajili ya kuwasilisha utamaduni wao.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.