• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Kuhusu Tamasha
    • Mwongozo wa Tamasha
    • Fomu za Maombi ya Tamasha
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

TaSUBa YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI KIMKOA

Posted on: May 1st, 2023


TAASISI ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) leo tarehe 1 Mei, 2023 imeungana na Watanzania kote nchini kusherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani, maarufu kama Mei Mosi.


Sherehe hizo ambazo Kimkoa zimefanyika katika Halmashauri ya Chalinze zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Wilaya na Mkoa wa Pwani wakiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Pwani Kanali Joseph Kolombo, Mkuu wa Wilaya ya Kibiti ambaye ndiye alikua mgeni rasmi katika maadhimisho hayo. 


Maadhimisho hayo kwa mwaka huu yanaongozwa na Kauli Mbiu isemayo "Mishahara Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya Wafanyakazi, Wakati ni Sasa."


Mhe. Kolombo amesisitiza kuwa Siku ya Mei Mosi ni muhimu kwa watumishi wote duniani, kwani ni siku inayotukumbusha wajibu wetu wa kuwatumikia wananchi kwa uadilifu, kwa umoja, ufanisi na kwa haki.


Naye Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) tawi la TaSUBa, Bw. Gwakisa Charles amesema TaSUBa imeungana na  wafanyakazi wa taasisi nyingine kwenye maadhimisho hayo ikiwa ni njia ya kutambua mchango wa watumishi kwenye utekelezaji wa majukumu yao. 


Kitaifa Sherehe za Mei Mosi mwaka huu zimefanyika Mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.





Matangazo

  • JOIN INSTRUCTION FOR ACADEMIC YEAR 2023-2024 August 16, 2023
  • LIST OF SELECTED APPLICANTS FOR 2023 SEPTEMBER INTAKE August 21, 2023
  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2023-2024 (SECOND ROUND) August 16, 2023
  • WITO KWA WASANII KUSHIRIKI TAMASHA LA 42 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO -2023 April 20, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • IMEBAKI MWEZI MOJA KUFANYIKA TAMASHA LA 42 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

    September 26, 2023
  • PONGEZI KWA KATIBU MKUU MPYA WA WIZARA

    September 23, 2023
  • TaSUBa YAZINDUA DAWATI LA JINSIA

    May 17, 2023
  • TaSUBa YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI KIMKOA

    May 01, 2023
  • Angalia zote

Video

Sanaa Tuition fee waiver scholarship
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Sanaa la Taifa
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Dirisha la Watumishi

Viunganishi Linganifu

  • WIZARA YA UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kaole Road

    Anuani ya posta: P.O.Box 32 Bagamoyo Tanzania

    Simu: +255 023 2440149

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2022 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.