Meneja wa Msanii Alikiba na Meneja wa Kings Music Records, Bw. Benjamin Otwal, amewahimiza vijana kuzingatia “creative economy” kama njia muhimu ya kujenga maisha bora ya baadaye na kufikia mafanikio katika sekta ya sanaa na ubunifu.Akizungumza na wanachuo wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Bw. Otwal amesema kuwa dunia ya sasa inahitaji vijana wenye uwezo wa kutumia vipaji vyao kwa ubunifu ili kujiongezea kipato na kuchangia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.Amesema TaSUBa ni miongoni mwa taasisi zinazotoa mazingira bora ya kujifunzia na kukuza vipaji vya kisanaa kwa kuwaunganisha wanafunzi na wataalamu wa sekta mbalimbali za sanaa na ubunifu.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.