Nasoro Mchunga, mwanafunzi wa kozi ya Music and Sound Production katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), ameendelea kuonesha umahiri wake katika sanaa ya ushairi, kipaji ambacho anasema alianza kukiendeleza mwaka 2020 alipokuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza.Nasoro anabainisha kuwa mapenzi yake kwa ushairi yalianza tangu akiwa shuleni, ambapo alianza kutunga mashairi mbalimbali yaliyolenga kuelimisha, kuburudisha na kuhamasisha jamii kuhusu masuala tofauti ya kijamii.Amewahimiza vijana wenye vipaji mbalimbali kuviendeleza kwa kujituma, kujifunza na kutokata tamaa, akisisitiza kuwa vipaji vinaweza kuwa daraja la kufikia mafanikio makubwa endapo vitapewa nafasi ya kukuzwa.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.