Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) kutoka kwa Mkuu wa Taasisi hiyo Dkt. Herbert Makoye alipotembelea mabanda ya Taasisi za Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Wadau wa Sekta hizo kuona namna zinavyotekeleza majukumu yao kwa Watanzania Septemba 23, 2024 katika Uwanja wa Majimaji Songea ikiwa ni katika Kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa.
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.