Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) itashiriki maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 16 hadi 23 Juni 2026 katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.
Kupitia maonesho hayo, TaSUBa itatoa huduma mbalimbali ikiwemo elimu kuhusu kozi na programu zinazotolewa na taasisi, ushauri wa kitaaluma kwa wanafunzi na wadau wa sanaa na utamaduni, taarifa za udahili kwa mwaka wa masomo 2026/2027.
Aidha, wageni watapata fursa ya kufahamu mchango wa TaSUBa katika kukuza, kuendeleza na kuhifadhi sanaa na utamaduni wa Tanzania kupitia maonesho ya kazi za sanaa, ubunifu na mafanikio ya wanafunzi na wahitimu wake.
Karibuni kutembelea banda la TaSUBa katika Viwanja vya Chinangali Park, Dodoma, kujifunza zaidi kuhusu fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya sanaa na utamaduni.
#TaSUBa #WikiYaUtumishiWaUmma2026 #SanaaNaUtamaduni #Dodoma #KaribuTaSUBa
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.