• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Tamasha la 44
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

VIJANA WAHIMIZWA KUJIANDAA MAPEMA KATIKA KAZI ZAO ZA SANAA KABLA YA KUMALIZA MASOMO CHUONI

Posted on: June 20th, 2026

Mhitimu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Stellabeatrice Dominic, amewataka vijana kujenga misingi imara ya taaluma zao mapema ili kuongeza nafasi za kupata fursa mbalimbali za ajira na ushirikiano wa kikazi wanapoingia kwenye soko la ajira.Akizungumza kuhusu safari yake ya taaluma, Stellabeatrice amesema ni muhimu kwa vijana kuanza kutafuta na kutumia fursa zinazohusiana na taaluma wanazosomea wakiwa bado chuoni, kwani hatua hiyo huwasaidia kujenga mtandao wa mahusiano ya kikazi (networking), kupata uzoefu wa vitendo na kujitangaza kupitia kazi wanazozifanya.Ameeleza kuwa kujihusisha na shughuli za kitaaluma mapema kunawapa wanafunzi nafasi ya kutambulika katika tasnia husika kabla hata ya kuhitimu masomo yao, jambo ambalo huwapa urahisi wa kupata kazi au miradi wanapoingia rasmi kwenye mazingira ya kazi.“Vijana wasisubiri kuhitimu ndipo waanze kutafuta fursa. Waanze mapema wakiwa chuoni kwa kushiriki miradi, mafunzo ya vitendo na kujenga mahusiano na wadau wa sekta husika. Hii itawasaidia kuendana na mahitaji ya soko la ajira na kuongeza ushindani wao,” amesema Stellabeatrice.

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2026-2027 INGIZO LA SEPTEMBA August 21, 2026
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2026–2027 August 21, 2026
  • WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KWA MWAKA WA MSOMO 2026-2027 August 19, 2026
  • majina ya waombaji ambao wamechaguliwa na NACTVET kujiunga na Taasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo ingizo la Septemba 2025 August 15, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TWENZETU BAGAMOYO!!!

    August 22, 2026
  • TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI

    June 27, 2026
  • TaSUBa AWARDS ZINALENGA KUONGEZA HAMASA NA KUIBUA VIPAJI VYA WANAFUNZI

    June 26, 2026
  • ELIMU NA MAZOEZI SIRI YA MAFANIKIO KATIKA SANAA YA UCHORAJI

    June 25, 2026
  • Angalia zote

Video

TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS))
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Baraza la Sanaa la Taifa

Viunganishi Linganifu

  • WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kaole Road

    Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania

    Simu: +255 762544613

    Simu ya kiganjani: +255 766 264 581

    Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.