Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema itaendelea kutoa ushirikiano wa karibu katika kuhakikisha Tamasha la Utamaduni la Bulabo linafanyika kila mwaka ili kulinda urithi na utamaduni.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma, tarehe 14 Juni, 2026 mkoani Mwanza katika kilele cha tamasha hilo ambapo amesema, Tamasha limekuwa kivutio cha utalii na kulinda urithi wa Utamaduni.
Ameongeza kuwa, Vikundi vya Sanaa ambavyo hufanya maonesho mbalimbali kama vile ya nyoka, wapatiwe leseni rasmi ili wasipoteze urithi huo.
#PamojaAfcon2027 #MissWorldTanzania2027 #viral #trending #tasubaonlinetv
Kaole Road
Anuani ya posta: P.O.BOX 32 Bagamoyo Tanzania
Simu: +255 762544613
Simu ya kiganjani: +255 766 264 581
Barua pepe: application@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu masomo) info@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo ya ujumla) bagamoyofest@tasuba.ac.tz (Barua pepe hii inatumika kwenye mambo yote yanayohusu Tamasha) tas
Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.