• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Tamasha la 44
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

Video

  • VIJANA WAHIMIZWA KUJIANDAA MAPEMA KATIKA KAZI ZAO ZA SANAA KABLA YA KUMALIZA MASOMO CHUONI

    June 20th, 2026

    Mhitimu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Stellabeatrice Dominic, amewataka vijana kujenga misingi imara ya taaluma zao mapema ili kuongeza nafasi za kupata fursa mbalimbali za ajira na ushirikiano wa kikazi wanapoingia kwenye soko la ajira.Akizungumza kuhusu safari yake ya taaluma, Stellabeatrice amesema ni muhimu kwa vijana kuanza kutafuta na kutumia fursa zinazohusiana na taaluma wanazosomea wakiwa bado chuoni, kwani hatua hiyo huwasaidia kujenga mtandao wa mahusiano ya kikazi (networking), kupata uzoefu wa vitendo na kujitangaza kupitia kazi wanazozifanya.Ameeleza kuwa kujihusisha na shughuli za kitaaluma mapema kunawapa wanafunzi nafasi ya kutambulika katika tasnia husika kabla hata ya kuhitimu masomo yao, jambo ambalo huwapa urahisi wa kupata kazi au miradi wanapoingia rasmi kwenye mazingira ya kazi.“Vijana wasisubiri kuhitimu ndipo waanze kutafuta fursa. Waanze mapema wakiwa chuoni kwa kushiriki miradi, mafunzo ya vitendo na kujenga mahusiano na wadau wa sekta husika. Hii itawasaidia kuendana na mahitaji ya soko la ajira na kuongeza ushindani wao,” amesema Stellabeatrice.

  • WIZARA ITAFANYA MABONANZA MENGI KUAMSHA NCHI KUELEKEA AFCON 2027

    June 20th, 2026

    Wizara Itafanya Mabonanza Mengi Kuamsha Nchi kuelekea AFCON 2027

  • TaSUBa YAWAKARIBISHA WANAMUZIKI KUTOKA JESHI LA MAREKANI 'US MILITARY WOODWIND MUSICIANS

    June 17th, 2026

    Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) imepata heshima ya kipekee ya kutembelewa na wanajeshi-wanamuziki kutoka Marekani wanaobobea katika ala za woodwind kama clarinet, flute, saxophone, oboe na bassoon. Ziara hii imekuwa jukwaa la kubadilishana maarifa, uzoefu wa muziki na kuimarisha uhusiano kupitia sanaa. 



    Ask



  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • Next →

Matangazo

  • SELECTED APPLICANTS MARCH INTAKE 2026 March 31, 2026
  • FOMU YA KOZI FUPI July 14, 2025
  • FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO MWAKA WA MASOMO 2025/2026 August 18, 2025
  • ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA TaSUBa SEPTEMBER INTAKE 2024 August 05, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIJANA WAHIMIZWA KUJIANDAA MAPEMA KATIKA KAZI ZAO ZA SANAA KABLA YA KUMALIZA MASOMO CHUONI

    June 20, 2026
  • NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA RAIS MAENDELEO YA VIJANA ATEMBELEA BANDA LA TaSUBa

    June 17, 2026
  • TaSUBa TUPO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026

    June 16, 2026
  • TaSUBa YASHIRIKI MAZOEZI YA YOGA KWA AJILI YA KUIMARISHA AFYA

    June 15, 2026
  • Angalia zote

Video

TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.