• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Tamasha la 44
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

Video

  • ZIARA YA SHULE YA KIJESHI YA MAFUNZO YA MUZIKI NA SANAA ZA MAONESHO TASUBA "FUJO ISIYOUMIZA"

    May 18th, 2026

    Koplo Frank Suddah ambae ni mmoja wa wanafunzi kutoka Shule ya Kijeshi ya Mafunzo ya Muziki na Sanaa za Maonesho akishashmbulia jukwaa wakati wanafunzi na waalimu kutoka Shule hiyo ya kijeshi walipotembelea Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Mei 15, 2026 kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu.Katika ziara hiyo, wanafunzi wa TaSUBa walipata fursa ya kuonyesha vipaji na umahiri wao katika nyanja mbalimbali za sanaa ikiwemo ngoma, sarakasi na muziki.  Aidha, burudani mbalimbali zilizotolewa zilionesha kiwango cha juu cha ubunifu, nidhamu na uwezo mkubwa wa vijana hao katika kushambulia jukwaa na kuwaburudisha watazamaji.

  • MSANII WA JUAKALI "MAMA LUKA" AZUNGUMZIA UMUHIMU WA TAALUMA YA NGOMA NA MAFANIKIO YAKE KWA WASANII

    May 12th, 2026

    Mkufunzi wa ngoma kutoka Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Bi. Beatrice Taisamo, amesema taaluma ya ngoma ina mchango mkubwa katika maendeleo ya wasanii na jamii kwa ujumla. Ameeleza kuwa ngoma si burudani pekee, bali ni taaluma inayoweza kumpatia mtu ajira, kipato na heshima katika jamii.Bi. Beatrice amesema kupitia mafunzo ya ngoma, wasanii hupata ujuzi wa kitaalamu unaowasaidia kufanya kazi kwa ubunifu na kujiamini zaidi wanapokuwa jukwaani. Pia ameeleza kuwa taaluma hiyo huwasaidia vijana kutumia vipaji vyao kwa njia sahihi na kujiepusha na vitendo visivyofaa katika jamii.Aidha, amesema wasanii wengi waliopitia mafunzo ya ngoma wamefanikiwa kujipatia ajira ndani na nje ya nchi kupitia vikundi vya sanaa, maonesho mbalimbali pamoja na kushiriki katika matamasha ya kimataifa. Ameongeza kuwa elimu ya sanaa huwapa wasanii uwezo wa kuelewa utamaduni wao na kuutangaza kwa vizazi vya sasa na vijavyo.Bi. Beatrice amewahimiza vijana wenye vipaji vya sanaa kujitokeza na kujiunga na TaSUBa ili kupata elimu na mafunzo yatakayowasaidia kufikia ndoto zao na kuwa wataalamu wa sanaa ya ngoma.

  • Je, unakidhi sifa za kujiunga TaSUBa?

    May 5th, 2026

    Je, unakidhi sifa za kujiunga TaSUBa?

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • *TAMASHA LA KIMATAIFA LA BAGAMOYO LAINUA UCHUMI WA BAGAMOYO*

    October 27, 2024
  • *NCHI 9 ZASHIRIKI TAMASHA LA 43 LA BAGAMOYO*

    October 24, 2024
  • *WAFANYABIASHARA KUNUFAIKA NA TAMASHA LA 43 LA BAGAMOYO*

    October 22, 2024
  • IMEBAKI SIKU 1 KUFANYIKA TAMASHA LA 43 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

    October 22, 2024
  • Angalia zote

Video

TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.