• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Tamasha la 44
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

Video

  • WASANII WATAKIWA KUUNGANISHA VIPAJI NA ELIMU KWA MAFANIKIO ZAIDI

    May 20th, 2026

    Mmoja wa waalimu katika Idara ya Ngoma na Sarakasi ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Bw. Epimack Luanda, amesema kuwa sanaa bila elimu ni vigumu kwa msanii kutoa kazi zitakazoweza kushindana katika soko la ndani na la nje ya nchi.Mwalimu Epimack amewataka wasanii na vijana wenye vipaji kujitokeza kujiunga na Taasisi hiyo ili kupata elimu ya kitaalamu itakayowasaidia kukuza vipaji vyao.Akizungumza kuhusu umuhimu wa elimu katika sanaa, Bw. Luanda amesema TaSUBa huwapa wanafunzi nafasi ya kujifunza aina mbalimbali za sanaa pamoja na maarifa muhimu ya uongozi, masoko na ujasiriamali wa sanaa ili waweze kujitegemea na kufanya kazi kwa ubunifu na weledi zaidi.

  • RIO FERDINAND AWASILI TANZANIA

    May 19th, 2026

    Nguli wa zamani wa timu ya Taifa ya England na Klabu ya Manchester United Rio Ferdinand awasili nchini na kupokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda.

  • Nafasi za kujiunga na Chuo ingizo la Septemba, 2026

    May 18th, 2026

     Nafasi za kujiunga na Chuo ingizo la Septemba, 2026

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • *SERIKALI KUENDELEA KUFANYA UWEKEZAJI MKUBWA TaSUBa*

    December 07, 2024
  • JIUNGE NA CHUO INGIZO LA MACHI 2025

    December 03, 2024
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI TaSUBa LATAKIWA KUWA CHACHU

    November 07, 2024
  • TaSUBa YASHIRIKI MAONESHO YA CHINA

    November 05, 2024
  • Angalia zote

Video

TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.