• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • NeST |
    • Dirisha la Watumishi (Employee Self Service (ESS)) |
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)
TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Huduma Zetu
    • Kikundi cha Bagamoyo
    • Vyumba vya Mikutano
    • Ushauri
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Ofisi
    • Vitengo
  • Taaluma
    • Kozi Zitolewazo
    • Fomu za Maombi
    • Matokeo ya Mtihani
    • Prospectus
  • Tamasha la Bagamoyo
    • Tamasha la 44
    • Tamasha la 43
    • Tamasha la 42
    • Tamasha la 41
    • Tamasha la 40
    • Tamasha la 39
    • Tamasha la 38
  • Kituo cha habari
    • TaSUBa TV
    • Maktaba ya Picha
  • Wasiliana
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Taarifa kwa umma

Video

  • DKT. MAKOYE AWATAKA VIJANA KUCHANGIA DAMU ILI KUOKOA MAISHA YA WAGONJWA

    May 22nd, 2026

    Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Dkt. Herbert Makoye ametoa wito kwa vijana kujitokeza kwa wingi kuchangia damu salama ili kusaidia kuokoa maisha ya wagonjwa wenye uhitaji wa damu katika hospitali mbalimbali nchini.Amesema vijana wana nafasi kubwa ya kusaidia jamii kupitia uchangiaji wa damu kwani kitendo hicho ni salama na chenye manufaa makubwa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura, wajawazito pamoja na watoto.

  • KARIBU UJIUNGE NA CHUO TaSUBa KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027

    May 21st, 2026

         Nafasi za kujiunga na Chuo - TaSUBa kwa ingizo la Septemba.

        Usikose fursa hii adhimu ya kuitendea ipasavyo "talent" yako. 

        Jiunge na Chuo TaSUBA upate elimu bora, maarifa ya vitendo katika kukuza kipaji chako.

         Tuma maombi yako sasa kujiunga na Chuo chenye mazingira bora ya kujifunzia katika kujenga "future" yako.

        Wasiliana nasi: +255 762 544 613 / +255 766 264 581

  • TaSUBa WACHANGIA DAMU SALAMA KUOKOA MAISHA

    May 21st, 2026

    WATAALAMU wa afya kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani ya Tumbi wamefika katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) kwa lengo la kutoa elimu na kuhamasisha uchangiaji wa damu salama.Katika zoezi hilo, wataalamu hao wa afya walieleza umuhimu wa kuchangia damu kwa hiari, wakibainisha kuwa damu ni muhimu katika kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura, wajawazito, watoto pamoja na watu wanaopata ajali.Aidha, walitoa wito kwa watumishi na wanafunzi wa TaSUBa kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la uchangiaji damu, wakisisitiza kuwa tendo hilo ni la kibinadamu na lina mchango mkubwa katika kusaidia jamii.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • VIJANA wasanii wametakiwa kufahamu kuwa wana nafasi kubwa katika kulinda na kuimarisha amani ya nchi kupitia kazi zao za sanaa za muziki, ngoma, filamu, maigizo, uchoraji au fasihi.

    December 19, 2025
  • KARIBU UJIUNGE NA KOZI YA MUDA MFUPI YA MUZIKI

    May 29, 2025
  • JIUNGE NA CHUO INGIZO LA MACHI 2025

    March 04, 2025
  • JIUNGE NA CHUO INGIZO LA MACHI 2025

    December 19, 2024
  • Angalia zote

Video

TaSUBa AWARDS NI MFANO WA KUIGWA KATIKA KUTOA MOTISHA KWA WANAFUNZI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Idadi ya waliotembelea Tovuti

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Copyright ©2024 Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) . All rights reserved.